njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Itakuwa wana wivuAchilia mbali kwamba picha na maelezo yamechanganywa maana aliyesajiliwa na simba ana miaka 23 siyo 29 jamaa wamefanya censoring ya logo ya M BET
Mbona logo za sportpesa huwa wana post, kuna beef? maingiliano ya kibishara? kwa msimu huu picha na video za simba zitakuwa haramu hapo usafini?
View attachment 2300421
Dini za kipepo?Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
Ukiambiwa wewe kilaza unabisha hujui kuwa Wasafi nao wana Wasafi Bet?Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dahhhTanzania Wasafi ndo kampuni ya kimaskini ya betting, unaweza ukashinda jackpot ukaambiwa zawadi yako Diamond akuimbieb"yope"
,[emoji45][emoji45][emoji23][emoji45]Tanzania Wasafi ndo kampuni ya kimaskini ya betting, unaweza ukashinda jackpot ukaambiwa zawadi yako Diamond akuimbie"yope"
Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa![/QUOT we ni kilaza hujui kitu Zaid ushabiki unakuendesha tu
Tanzania Wasafi ndo kampuni ya kimaskini ya betting, unaweza ukashinda jackpot ukaambiwa zawadi yako Diamond akuimbie"yope"
Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
Nadhani anamaanisha Diamond PlatinumzHuyo mtu wa dini ni nani kati yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaahTanzania Wasafi ndo kampuni ya kimaskini ya betting, unaweza ukashinda jackpot ukaambiwa zawadi yako Diamond akuimbie"yope"
Wamefuta kwa Makusudi aiseeAchilia mbali kwamba picha na maelezo yamechanganywa maana aliyesajiliwa na simba ana miaka 23 siyo 29 jamaa wamefanya censoring ya logo ya M BET
Mbona logo za sportpesa huwa wana post, kuna beef? maingiliano ya kibishara? kwa msimu huu picha na video za simba zitakuwa haramu hapo usafini?
View attachment 2300421
Wasafi Bet imetakaswa?Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!