Kwanza unapaswa kufahamu hv mkuu,hiyo page haina uhusiano Na wasafi fm au tv,(sio yao)..
Pili hiyo page huwa inatangaza matangazo ya kibiashara so ku display m bet ni kama kupromote biashara yao bila malipo.
Hata mwanadada kwa jina la aminatasportlady huwa anahide majina ya makampuni so na yeye tuseme ana bifu na m bet?
Tanzania Wasafi ndo kampuni ya kimaskini ya betting, unaweza ukashinda jackpot ukaambiwa zawadi yako Diamond akuimbie"yope"
[emoji868][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dini
Dini za kipepo?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]watu mnamaneno aiseeTanzania Wasafi ndo kampuni ya kimaskini ya betting, unaweza ukashinda jackpot ukaambiwa zawadi yako Diamond akuimbie"yope"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasafibet jeKamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
Wenye Wasafi bet. Tumia akiliKamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
Wasafi betKamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
Waache kutangaza habari za SimbaWenye Wasafi bet. Tumia akili
Eti watu wa dini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na ile wasafi bet siyo KHARAMU?[emoji1787][emoji1787]Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
Nadhani anamaanisha Diamond Platinumz
Hata asipoonesha sisi tunajua hiyo ni mbetMzee nadhani ni jambo la kibiashara maana hata Sport pesa huwa wanaziba kumbuka wao wana wasafi Beting so hawawezi kuwapa shavu washindani wao.
Mmh!!Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
wasafi bet hii ndiyo ya watu wa dini haswa.Kamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!
Wasafi Bett inamilikiwa na shetani yupi MkuuKamari ni halamu.
Wasafi Media inamilikiwa
na watu wa dini haswaa!