Wasafi Radio hili kajifunzeni Clouds.

Wasafi Radio hili kajifunzeni Clouds.

Ukitaka kufurahia intavyuu sikiliza hizi radio ndogo ndogo huwa wanakuwa na muda mwingi sana bila kumkatisha mgeni.
Ila hizi kubwa ni kama baba yao mmoja, wanaharibu hata mtiririko.
 
Nadhani walikuwa na lengo zuri la kuweka automatic timing Kwenye matangazo yao, ila kwenye kumkatisha mtu ghafla anapoongea hiyo haipo sawa.
 
Nafikiri hili ni janga kwa waandishi wa sasa maybe kwenye siasa na udaku/mapenzi lkn kwamaswali ya maendeleo au yakumfanya anaeulizwa apate kufikiri zaidi ni ngumu sana hawana uwezo wa kufanya tafiti nzuri kabla ya kipindi au kuuliza maswali magumu,wapo km wanatimiza tu wajibu wakua sehemu husika
Ila kuna Masoud Kipanya,Siza ,Kikeke hawa ni bora kwangu na huwa hawana mrengo wakati wa kuhoji...
 
Back
Top Bottom