Wasafi Radio hili kajifunzeni Clouds.

Ukitaka kufurahia intavyuu sikiliza hizi radio ndogo ndogo huwa wanakuwa na muda mwingi sana bila kumkatisha mgeni.
Ila hizi kubwa ni kama baba yao mmoja, wanaharibu hata mtiririko.
 
Nadhani walikuwa na lengo zuri la kuweka automatic timing Kwenye matangazo yao, ila kwenye kumkatisha mtu ghafla anapoongea hiyo haipo sawa.
 
Ila kuna Masoud Kipanya,Siza ,Kikeke hawa ni bora kwangu na huwa hawana mrengo wakati wa kuhoji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…