Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
-
- #41
NA WEWE NI TIMU WCB DAMUMIMI NI CCM DAMU-----MIMI NI YANGA DAMU-----MIMI NI TANZANIA DAMU----MIMI NI TEAM MAGUFULI DAMU---- MIMI NASEMA KWA KAULI MOJA "MITANO TENA, KAZI IANZE"
Usirudie tena kuandika uwongo kwa herufi kubwa....tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Nani nipo hapa Member wa board ya wasafi[emoji23][emoji23][emoji23]
vice versa is true,yaani unafananisha WASAFIMEDIA na takataka ya CLOUDS...!!!??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itawachukua miaka 100 hao wachafu kuikuta clouds media group
lina boa si angesema WASAFI MITAMO TENA[emoji3514]Hebu na wewe usituchoshe na hii taka-taka yako hapa, kila thread unatuwekea huu ujinga..!
Hiyo wasafi mbona huku mtwara hatuisikii wazeeNi kweli kabisa. Wasafi imeshaizika Clouds rasmi. Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha. Yaani kuna kipindi sikujua kama Clouds nayo itapotezwa. Ila kifo cha Ruge nacho kimechangia pakubwa.
Ana hisa hazivuki hata 30% mke wa kusaga ndio ana zaidi ya hisa 50%tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
TEAM KIBAMIA MNA WAZIMU[emoji23][emoji23][emoji23]Clouds FM + Wasafi Fm = Joseph Kusaga
sawa hamisa mobettoalafu kuna n'gombe hazijausoma mchezo.
sasa si ndo biashara kuwa na hisia na mmiliki[emoji23][emoji23][emoji23],kasome biashara dogoSimba pale ana-hisa na si umiliki 100%
huo ni ukweli mtupuUsirudie tena kuandika uwongo kwa herufi kubwa....
hapana Mimi ni abdulkibamia[emoji23][emoji23][emoji23]Umeandika kwa mahaba mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au wewe ni rayvanny
wamekereka[emoji3514]mtoa mada hajazungumzia mambo ya umiliki bt makusudi watu wanabadilisha lengo la uzi, hebu jikiteni kwa mada japo mnaonekana kukereka.
huko tumewaachia tandahimba fm na tv[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo wasafi mbona huku mtwara hatuisikii wazee
fact clouds chaliii[emoji23][emoji23][emoji23]Pongezi kwao
endelea kukaza fuvu[emoji23][emoji23][emoji23],yaani unambishia kigoma independentAna hisa hazivuki hata 30% mke wa kusaga ndio ana zaidi ya hisa 50%
Nenda BRELA kujua wamilki wa WASAFI.