Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Umeandika kwa mahaba mkuu😂😂😂😂😂

Au wewe ni rayvanny
 
mtoa mada hajazungumzia mambo ya umiliki bt makusudi watu wanabadilisha lengo la uzi, hebu jikiteni kwa mada japo mnaonekana kukereka.
 
Ni kweli kabisa. Wasafi imeshaizika Clouds rasmi. Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha. Yaani kuna kipindi sikujua kama Clouds nayo itapotezwa. Ila kifo cha Ruge nacho kimechangia pakubwa.
Hiyo wasafi mbona huku mtwara hatuisikii wazee
 
tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Ana hisa hazivuki hata 30% mke wa kusaga ndio ana zaidi ya hisa 50%



Nenda BRELA kujua wamilki wa WASAFI.
 
Back
Top Bottom