Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Ok siwezi kukujibu, username inakutambulisha kama sijakosea ni MUHA wana asili ya ubishi, maana mrangi alishakujibu mgawanyo wa HISA ulivyo lakini still unaleta ubishi.

Cc.Mrangi
mrangi kazi yao ni kupaka rangi, ko usomi na fact/logic hamuwezi kalale
 
fact kaka umeua
 
Na ukubwa huo unajua Wasafi Tv ya diamond
Haya bhana endelea
 
'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'

Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?

Kusaga ni kichwa sana arifu.
Aliekwambia Kusaga ndio mmiliki wa wasafi nani? Kusaga mwenyew kashasema yeye sio mmiliki...ndo yale yale ya Magu kukataa kuongeza miaka..ila makada wanatia upepo tu
 
53% ya hisa za wasafi unajua zinamilikiwa na nani?
Hivi mwenye Hisa na Mwenye Brand nani sasa boss? Huyo kusaga kama hisa ndo kila kitu basi akafungue Kondegang fm uone...hisa mbele ya brand haifui dafu...sjui kwann hamtaki kukubali...

Diamond hapo anamiliki hisa na anamiliki brand so nani boss hapo[emoji3]
 
Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa...kusaga atoe hisa zake uone kama wasafi itakufa...apeleke hizo hisa Star tv [emoji3]
Wasafi ni brand kubwa investors wote wnaitolea macho
 
Simba pale ana-hisa na si umiliki 100%
Ana hisa na anamiliki brand ya wasafi kwa 100% ..hisa bila brand basi star tv wangekua wakubwa...ni sawa leo hii ukamiliki kampuni ya Apple kwa 75 percent ndio ujione mkubwa kuliko brand ya apple yenyew [emoji3]
 
mtoa mada hajazungumzia mambo ya umiliki bt makusudi watu wanabadilisha lengo la uzi, hebu jikiteni kwa mada japo mnaonekana kukereka.
Ndio kichaka wanachojifichia..nililiona hilo kabla uzi haujapata comment hata 1[emoji3]
 
'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'

Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?

Kusaga ni kichwa sana arifu.
Mwandishi hajasema hata kidogo eti The fall of Jose Kusaga!
Jamaa kasema The fall of clouds!!

Sasa mambo ya kusaga anamiliki nini sijui yanatoka wapi sijui!!

Inawezekana kweli kusaga ni sehemu ya wamiliki wa Wasafi media 'kama utakavyo' lakini hiyo haizuii biashara yake nyingine kufa!!!
Be positive!!
 
Kwahio Kusaga ataua biashara yake 1 na kuinua biashara yake 1 nyingine sio?
 
Sasa mke wa kusaga ndo kusaga? Hivi tukienda mahakani utamsimamisha kusaga? Haya mambo ni legal sio story za vijiwen...
Basi tufanye mke wa kisaga ni mkeo aisee.
 
Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa...kusaga atoe hisa zake uone kama wasafi itakufa...apeleke hizo hisa Star tv [emoji3]
Wasafi ni brand kubwa investors wote wnaitolea macho

'Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa'

Hahah unajua maana ya Controlling Interest lkn?
 
Aliekwambia Kusaga ndio mmiliki wa wasafi nani? Kusaga mwenyew kashasema yeye sio mmiliki...ndo yale yale ya Magu kukataa kuongeza miaka..ila makada wanatia upepo tu
Nakubali itakua basi Mmiliki ni Mchungaji Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…