Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,207
Biashara huui mwenyewe bro! Au huui kwa kupenda!!Kwahio Kusaga ataua biashara yake 1 na kuinua biashara yake 1 nyingine sio?
Upepo unaelekea Wasafi media kwa sasa na hii sio kwa amri yake ni Mungu tu!
So endapo Wasafi inafanikiwa na Clouds inafifia hatusemi kuwa Joe ndie anaua moja na kukuza nyingine!
Kubali kuwa Mondi ni nyota ing'aayo mno wakati huu hivyo kama Jose katia hela Wasafi "kama unavyofosi" hiyo haibadilishi kuwa Mondi ni nouma!! Mondi ni amefanikiwa sana kama kijana mdogo kabisa!!