Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Kwahio Kusaga ataua biashara yake 1 na kuinua biashara yake 1 nyingine sio?
Biashara huui mwenyewe bro! Au huui kwa kupenda!!
Upepo unaelekea Wasafi media kwa sasa na hii sio kwa amri yake ni Mungu tu!

So endapo Wasafi inafanikiwa na Clouds inafifia hatusemi kuwa Joe ndie anaua moja na kukuza nyingine!
Kubali kuwa Mondi ni nyota ing'aayo mno wakati huu hivyo kama Jose katia hela Wasafi "kama unavyofosi" hiyo haibadilishi kuwa Mondi ni nouma!! Mondi ni amefanikiwa sana kama kijana mdogo kabisa!!
 
Daah kweli aisee,Kusaga ni hatari sana arifu
 
Hivi mwenye Hisa na Mwenye Brand nani sasa boss? Huyo kusaga kama hisa ndo kila kitu basi akafungue Kondegang fm uone...hisa mbele ya brand haifui dafu...sjui kwann hamtaki kukubali...

Diamond hapo anamiliki hisa na anamiliki brand so nani boss hapo[emoji3]
Boss ni yule mwenye 43% na ambae ana-fall kwny NCI(Non-controlling Interest),hahah.
 
Mnachotakiwa kujua ni kwamba,bila brand ya WASAFI ambayo kimsingi ni ya diamond platinumz hakuna WASAFI TV wala WASAFI FM, kufanikiwa kwa hiyo media wala si swala la pesa. Leo hii Diamond akisema atoe hizo hisa zake ambazo nyinyi mnaziona ni ndogo pamoja na brand yake alafu akae kando, WASAFI MEDIA inaanguka ndani ya muda mchache tu [emoji23](Mnafikiri kuanzisha redio ni pesa tu[emoji848])

Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.Kwahiyo chukua Hisa anazo miliki Mond pale Wasafi media + Brand yake= MOND NDIO MKUBWA PALE WASFI MEDIA.Kama kweli ni swala la pesa na akili za Kusaga,mbona clouds inamfia mkononi mwake?[emoji23]

NB:Ukuaji wa kasi wa WASAFI media kwa asilimia 50%unategemea brand na mashabiki aliyojitengenezea Mond. Ndiomaana hata nyinyi mnaoiponda WASAIFI hamuwezi kuwa mashabiki wa Mond.
"Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.

Hahah hesabu za hisa zingekua hovyo hivi mambo yangekua rahisi sana,ukute haujui hata maana ya mtu kumiliki hisa 51%+
 
tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
King of porno labda
 
Daaah hizo 43% ni nyingi sana mimi nlijua anamiliki chini ya hapo,halafu kuna mwingine anamiliki 2%...pia naona kuna 2% haijawekwa hapo ili ziwe 100% hisa zote
Kuna jamaa anaitwa Ali Katibu Dai ndio anamiliki hizo 2%.
 
Hata angemiliki 1% ni mwanahisa,kwahiyo 47% ya nani kama jose anamiliki 53%
Ungejua maana ya Controlling Interest(CI) vs Non Controlling Interest(NCI) ungejua ni kwanini wababe hua wanakimbilia kumiliki 51%+ na sio chini ya hapo.
 
Back
Top Bottom