Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Iko hivi Clouds media ni family business ambayo ipo chini ya Kussaga Family yaaani iliazishwa kupitia Fedha za Marehemu Mzee Kussaga alafu mtoto wake huyu Kussaga Jr ndio akawa mkurungezi kutokana na yeye kuwa na experience kuwa na mshiko wa kutosha akaazisha Clouds media dubai, Rwanda na kampuni zingine lakini baadae akaona kama apati pesa za kutosha kutoka Clouds media bcz ya family ownership ndio akaazisha Wasafi Media from copy and paste ya Clouds media lakini akaingia makubaliano ya mkataba na Diamond ili watumie Wasafi brand kwa minajili ya kuipa Airtime kubwa huku Diamond akipata sehemu ya kuongelea mziki wake na matamasha yake ndio maana unaona Wasafi Media wanapita mule mule kwenye njia za Clouds media mfano Kuja kwa Koffi; Koffi anamawasiliano ya Karibu sana na Joseph Kussaga pia Tigo Wanaelewana sana na Kussaga ndio maana wameweza kukaa na Clouds media for more than 4 yrs to support Fiesta. Ukiangalia hata Vifaa wanavyotumia kwenye matamasha yao ni kutoka Prime time promotion iliyo chini ya clouds. Clouds Media ilikuwa Ruge na Joseph. Ruge ni mtendaji lakini nyuma ya picha alikuwa chini ya Kussaga ndivyo ilivyo kwa Wasafi Media Diamond anaonekana ndio mmiliki lakini nyuma ya picha yupo chini ya Joseph Kussaga kupitia Mke wake.... Vijana tutafute pesa na tuwe na focus na vision.....
acha uongo punda wewe
 
Yaani hii ni sawa na kutoa fedha mfuko wa shati ukaweka kwenye mfuko wa suruali na ukachekelea kuwa umeongeza kipato
 
Habari Wana jamvi;

Kwa mwendo huu wa WASAFITV kuruhusiwa kuonyeshwa bure kwenye kisembuzi Cha AZAMTV ni ukomavu na ukuaji mkubwa wa tasinia ya taarifa ya habari nchini.

Pia imedhihirisha ni kwa namna gani DIAMOND pamoja na WASAFI ni mahodari na wabobezi kwenye nyanja ya habari sana.

TIGO wameisaliti CLOUDSTV na kukimbilia WASAFITV,hii inamaanisha kuwa WASAFITV ndo inakuja kuleta mapinduzi mapya,yenye misingi ,tija na manufaa kwa wanamziki/wasanii kwa ujumla nchini Tanzania.

Hiki kitendo Cha TIGO kinaonyesha kuwa CLOUDSTV imeisha kufa na imebakiwa kuzikwa,na kwa Sasa habari ya mjini ni WASAFITV.

S/O kwa Diamond platinumz the G.O.A.T pamoja na chuma Cha WCB na WASAFITV kwa ujumla.

THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.
View attachment 1633721
Mbona sioni maelezo yanayoonesha kuwa tigo wameacha kudhamini fiesta?
 
Ni kwa juujuu tu mkuu,kiufupi ni Kwamba utajiri alionao huyo mwanamama hautegemei kabisa uwepo wa kusaga.Kusaga kamkuta na hela zake.
Dah ina maana mzee kusaga hakuwa na mke hapo mwanzo? Kama alikuwepo umemuacha au kushatangulia mbele ya haki mkuu?
 
Kusaga alisema walidumu nae kwny uchumba for 10 yrs then ndio ndoa ikafuata,so hapo ni tangu Kusaga anapiga music kwny ma-disco mpk amefikia hapo alipo.
Duh 10 years ni uchumba wa namna gani huo? Kwa iyo tuseme ndo mkewe khalali tangu ana hustle kipind iko kweny ma disco?
 
Hao WCB ninawajua nje ndani, ninaishi nao mtaa mmoja.

Mboso anaishi Mbweni na hiyo Nyumba alitafutiwa na ndugu yangu. Rayvanvy anaishi Tabata. Queen darlin anaishi Sinza. Wote hao nawajua.

Msitake tuanze kuandika Mambo ya ndani humu maana sitaki kumkosea Diamond heshima.


Ngoja niishie hapa. Ila nasema sio kila kitu unachosoma kwenye mtandao ni kweli.

Asante.
Tupe mkuu tupe ma info...kwamba nyumba zao wanazokaa wamepanga??
 
Hata wasafi nao wanazidi kuwa wabunifu pia
Mfano walikuja na vipindi vyao kuonekana live kupitia youtube
kitu ambacho clouds hawakuwa Nacho labda liwe tukio muhimu
Kubali kataa clouds haina ubunifu tena
Nini faida ya kipindi kusikika /kuonekana live on YouTube?
 
acha kukaza fuvu bhana maana nimeshasema kuwa , WASAFIMEDIA iko top kwa kila kitu , Sasa Kama cloudstv ni kubwa kwa wasafi why tigo wamewakimbia..? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kampuni moja haiwezi kudhamini matukio tofauti tofauti!? SportPesa aliwezaje kudhamini Yanga na Simba!? Kwani Fiesta ya Clouds imeshafanyika mwaka huu bila ya udhamini wa Tigo kiasi cha wewe kuandika kuwa wamewakimbia clouds!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa unapataje nguvu ya kumbishia (KIGOMA INDEPENDENT) ambaye nipo WASAFI HQ[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sitaki kuamini kuwa mfagiaji wa ofisi ya WCB naye anapata nafasi ya kupekua makabrasha ya kampuni kuhusu umiliki na uendeshaji.
 
Back
Top Bottom