Wasafi tv na radio inakaribia kuwashwa...Tuanze kupendekeza watangazaji

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa WCB.



Mapendekezo yangu


Kipindi Cha muziki wa kisasa akae Sky walker

Mambo ya uswahilini akae mzee wa ngenga

Michezo amchukue Masau Bwile

Linex anafaa ana bonge la talent ya utangazaji

Dr shika vipindi vya uchambuz wa ishu nzito

Wazee ili chama ni letu tusaidiane kuibua vipaji
 
Radio ni ya Joseph Kusaga, usidandie vitu usivyovijuwa.
 
Haa haa Media za tz tu ndo
Mnampa paromo aende eupo
Awike kama hapa tz
Ahahaaaah...
Kila mfalme ana Kingdom yake mkuu...
Hata akina Davido wakienda Europe hawawezi kuwika kama wanavyowika Afrika..!
Kwa Tanzania na Afrika Mashariki sidhani kama Diamond ana mpinzani..!
 
Ahahaaaah...
Kila mfalme ana Kingdom yake mkuu...
Hata akina Davido wakienda Europe hawawezi kuwika kama wanavyowika Afrika..!
Kwa Tanzania na Afrika Mashariki sidhani kama Diamond ana mpinzani..!
Kwani anashindana na nani?
 
Hapo kwa Linex naunga mkono aslimia mia. Dah jamaa alikuwaga anatangaza kipindi cha BONGO.COM enzi hizo Times fm akiwa na jamaa mmoja wakuitwa Bandago Haule jamaa anaesikika kwenye matangazo ya Airtel (vyuma vimekaza). Linex alikuwa anafanya segment moja inaitwa MACHWEO NA MWANA ebhana eee.. jamaa alikuwa anabamba ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…