Wasafi tv na radio inakaribia kuwashwa...Tuanze kupendekeza watangazaji

Wasafi tv na radio inakaribia kuwashwa...Tuanze kupendekeza watangazaji

Mwanaume anayeandika hivyo , binafsi namuona kama mtoto fulani laini laini hivi au "chakula" .
Uandishi wa kutumia x huwa siukubali sana . Huwa unashusha maana ya habari nzima.
 
Ruge mutahaba awe mtangazaji wa kipindi cha mapishi
 
Atafute mwenyewe ...mnampa mapendekezo mnapata wapi muda huo wa kuchezea kwani mpo kwenye bodi
 
Mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa WCB.



Mapendekezo yangu


Kipindi Cha muziki wa kisasa akae Sky walker

Mambo ya uswahilini akae mzee wa ngenga

Michezo amchukue Masau Bwile

Linex anafaa ana bonge la talent ya utangazaji

Dr shika vipindi vya uchambuz wa ishu nzito

Wazee ili chama ni letu tusaidiane kuibua vipaji

Noma sana
 
Back
Top Bottom