WASAFI TV/RADIO: Kwa kila faida ya Bilioni 10, Diamond atalamba Bilioni 2

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Taarifa za chini chini kutoka kwa mchunguzi konyo mange kimambi inasemekana Diamond platnumz anamiliki asilimia 20 ya wasafi TV na radio...Mara ya kwanza watu walivyodhani hii TV na radio inamilikiwa na Wcb tu ilikuwa ni dhahiri hiki kituo tarajiwa kisingeweza kushindana na clouds na kingekua kinapata mapato machache.....

Kitu kizuri ni kwamba hii wasafi TV na radio kuna mkono wa Joseph kusaga ambaye ataiboost kweli kweli hiki kituo na haitakua jambo la kushangaza kituo hiki kikiingiza takribani bilioni 10 baada ya makato na ushuru wa aina yoyote...hii ni kwamba kwa vile D anamiliki asilimia 20 basi bilioni mbili ni halali yake kabisa....

Huyu kijana anazidi kufanikiwa na kuwapa hamasa ya maendeleo vijana wenzake...Msanii anaweza kuwa an hit kinoma Leo lakini hakuna anaeweza Ku hit muda wake wote na inabidi kuwe na biashara Ama uwekezaji nje na muziki ili muziki ukimtupa asiwe omba omba.

BIG UP DIAMOND PLATNUMZ JAPO MIMI NI SHABIKI WA KIBA😉😉
 
hahaa mtoa mada kalewa huyu ..kwanza aliyemwambia hiyo wasafi TV ni yakusaga nani ??
Et daa mange ndo kasema

Yaan hawa wafuasi wa mange wana tabu kweli

Mange hata akisema chakula tunachokulaga tanzania huwa anaanza anakijambia kwanza yeye ndo tunakula wafuasi wake watakubali tu

hata siku akisema kesho ndo mwisho wa dunia itakubali tu
 
Mkuu mbona unaniuliza swali ambalo hata wewe huna jibu lake
At least mimi sikuchomekea tajiri wa kutupwa wewe ndo umesema manake hata huo utajiri usiotupwa ambao ni wa kuhifadhiwa siufahamu yaani kwa kifupi siujui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…