WASAFI TV/RADIO: Kwa kila faida ya Bilioni 10, Diamond atalamba Bilioni 2

Team kibamia wana mpango wa kurusha "satellite" yao kwaajili ya kampuni ya simu na tv, redio..tatizo ni mwaka 2689.
 
Kumbe biashara ya Redio na Tv inalipa hiviiii dooooooooohhhh!
 
Umetumia mbinu gani kugundua itaingiza hizo pesa wakati hata haijafunguliwa.

Toa usenge wa mange hapa.qumer kweli ww
 
Hiyo faida ya bilioni 10 kwa mwaka ni ngumu mno kwa kituo cha utangazaji Tanzania kuweza kupata.

Vv
 
matapishi ayo yarejeshe huko insta kwa chizi mwenzio .. mnajifanya mnajuwa ya wenzenu wakati ya kwenu yanawashinda..
 
hahahaahaha afu kuna watu wanajiita wasomi wana degre na bado wana mfollow mango kimango
 
Mkuu unaijua kweli bilion kumi au unaongea tu hapa

Bas kama ndo hivyo akina diallo wangekuwa matajari wa kutupwa kama ndo kuanza tu na watu wana lamba bilion kumi bas ni noma sana
Duh
Asante sana
 
Yaani Mangi Kimambe alipiga simu kwenye hospitali aliyolazwa Wastara, India, ili kupata umbea wa kuandika Instagram. Nilivyosikia hivyo tu, Mi mwenyewe nilichoka. Kweli role model wenu kiboko
 
Yaani Mangi Kimambe alipiga simu kwenye hospitali aliyolazwa Wastara, India, ili kupata umbea wa kuandika Instagram. Nilivyosikia hivyo tu, Mi mwenyewe nilichoka. Kweli role model wenu kiboko
hana kazi kaajiliwa Insta
 
Yaani Mangi Kimambe alipiga simu kwenye hospitali aliyolazwa Wastara, India, ili kupata umbea wa kuandika Instagram. Nilivyosikia hivyo tu, Mi mwenyewe nilichoka. Kweli role model wenu kiboko
Hahaha ...Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…