Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] sjui wanapata wap huo mdaHizo ndio nyimbo zinazo tamba kwa sasa unataka wapige nyimbo gani na bado hawajaruhusiwa kufanya kitu kingine chochote zaidi ya mziki unataka nini? By the way Mtu una Instagram,una JAMII forum,una Twitter,una Facebook na Unabandle unataka TV/Radio /Gazeti vya nini
FactWCB walikuwa wanabaniwa kwenye TV nyingine kwahyo wamefungua TV yao kwa ajili ya promo za kazi zao,waache wapige nyimbo zao masaa 24 watakavyo kwahiyo natural selection itatake place only wapenzi wao ndio watakao kuwa wanaangalia.
kwani umelazimishwa?Wakuu mara kadhaa nimejaribu kuangalia hii tv na imeishia kunichosha tu..
Mkuu itakua una chuki nao tu maana jamaaa wanajitahidi kubalance kwenye nyimbo mpaka za kingkiba wanapiga af jamaaa tayali washateka soko maana sahivi siwezi kununua king'amuzi afu niweke Chanel tofauti na wasafi TVWakuu mara kadhaa nimejaribu kuangalia hii tv na imeishia kunichosha tu...
Kwa kifupi nilitegemea itakuwa tv ambayo italeta mapinduzi katika sekta ya burudani lakini imekuwa tofauti kabisa...
Hawa jamaa muda wote wanapiga manyimbo yao, ukiwasha tu channel yao unakutana na lavalava, hujakaa kidogo mara kwangwaru, hazijapita dakika mbili Rayvan huyu hapa.. Umeenda bafuni umerudi utamkuta diamond.. Yan ni rotation hiyo kila siku na muda wote... Utakuta wimbo mmoja unapigwa hata mara 30 kwa siku...
Hawa jamaa inabidi wajirekebishe vinginevyo watakimbiwa sana na watazamaji, maana walichokuwa wanakipinga kwenye media nyingine ndicho wanachofanya wengine...