Wasafi Tv wanachosha na Tv Yao

Wasafi siku hizi wamebatizwa na kuitwa wazee wa kukopi na kupaste. Wao kila wakiona msanii wa nje katoa video fulani basi na wao wataiga vile vile. They are too boring.
 
[emoji23] [emoji23] sjui wanapata wap huo mda
 
Wakuu mara kadhaa nimejaribu kuangalia hii tv na imeishia kunichosha tu..
kwani umelazimishwa?
Angalia nia ya kuanzishwa ni ku promoti kazi zao kwanza.Mbona kuna kituo hakipigi kazi zao hujafungua thread kulia lia
 
Mkuu itakua una chuki nao tu maana jamaaa wanajitahidi kubalance kwenye nyimbo mpaka za kingkiba wanapiga af jamaaa tayali washateka soko maana sahivi siwezi kununua king'amuzi afu niweke Chanel tofauti na wasafi TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…