Wasafi TV yapunguziwa adhabu, sasa kutumikia adhabu mpaka 28 Februari, 2021

Wasafi TV yapunguziwa adhabu, sasa kutumikia adhabu mpaka 28 Februari, 2021

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imefanya mapitio ya adhabu iliyotoa kwa Wasafi TV baada ya Wasafi kupeleka ombi la kufanya hivyo.

Baada ya mapitio TCRA imeakuja na uamuzi wa Wasafi kuendelea kutumikia adhabu hiyo mpaka tarehe 28 Februari 2020.

UAMUZI WA TCRA DHIDI YA WASAFI

1. WASAFI TV wataendelea kutumikia adhabu hiyo mpaka tarehe 28 Februari, 2021

2. WASAFI TV inaelekezwa kuzingatia masharti ya leseni ya kutoa huduma za maudhui ya kulipia kwa njia ya televisheni(Subscription content); na

3. Iwapo WASAFI TV itashindwa, itakataa au kukaidi Uamuzi huu, hatua zaidi za kisheria na kiudhibiti zitachukuliwa dhidi ya Wasafi TV



Pia, soma: RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu
yan tcra wanaacha wananch tunaumia na vifurushi vya kishenz vya mitandao ya cm wanaenda kufungia burdan
 
Back
Top Bottom