Wasafi vs Fiesta, :Fid Q Awapiga dongo Wasafi festival "acheni ufala"

Huyu jamaa n fala... hajui hawa mamawingu watamtumia baadae watamtupa kama bigiji... amuulize ruby, konki, jay dee na wengine kibao wako wapi, yaani laki tatu tu inamfanya anyee kambi?
Hivi mkuu kuzungusha mikoani kumbe wanalipwa laki3 per show?
 
masarakasi ana mpya gani??? atapata wasanii wachovu kama Dudu baya.. Rostam wapande wasafi thubutuuuu
 
Haya matamasha yanaoyoandaliwa na vituo vya radio yamemeza mapromota wa kawaida, na matokeo yake ni mgawanyiko kati ya wasanii, na wao wasivyojitambua wanabaki kama walivyo wakikumbukwa na kutumika wakati wa haya matamasha tu.
 
Classified list no 3 ya KONKI KONKI KONKI master huyu jamaa yumo..
Kwenye mziki anaimba ugumu lakini kimwili ni mlaini zaidi ya Amber lulu
 
Bado natafuta hiyo clip ya fid q akiwasema wasafi ndio nitie neno.. Maana haingii akilini maneno kama hayo tulitegemea yatoke kwa luludiva sio ngosha.
 
Bado natafuta hiyo clip ya fid q akiwasema wasafi ndio nitie neno.. Maana haingii akilini maneno kama hayo tulitegemea yatoke kwa luludiva sio ngosha.
[emoji23] [emoji23] clip mbona imezagaa Twitter huko watu wanaponda Sana hata Instagram pia ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…