fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Hivi mkuu kuzungusha mikoani kumbe wanalipwa laki3 per show?Huyu jamaa n fala... hajui hawa mamawingu watamtumia baadae watamtupa kama bigiji... amuulize ruby, konki, jay dee na wengine kibao wako wapi, yaani laki tatu tu inamfanya anyee kambi?