Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu

Nashauri nafasi za Makonda apewe Mkuu wa Mkoa wa sasa bwana Kunenge,wasipofanya hivyo, itaonekana wanmpinga ndugu Kunenge.

Sasa hivi Makonda hawezi kumuagiza Mambosasa au taasisi yoyote, mtu wa hivi ni mzigo kwa Wasafi
 
Wa Tanzania baadhi wana roho mbaya sana akiwemo mleta uzi

Sasa makonda akikosa kazi.. wewe unapata kiasi gani
 
wasafi pia ni mzigo katika nchi hii.
so, mzigo kukaa kwenye mizigo mienzie mi naona poa tu!
 
Hawawezi kumfuta ulezi kwa sababu pale wasafi Makonda ana vitu vyake kibao kavificha ngoja tusiseme mengi tutamhalibia mwenzetu mana nayo ni dhambi
 
Nadhani alipewa nafasi hiyo kwa merit ya uwezo wake binafsi na mapenzi yake kwa WASAFI na hakupewa kwa sababu ni mkuu wa mkoa. Hivyo hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mkuu wa mkoa nakuilea na kuishauri WCB Wasafi
 
Sio kumuondolea tu alitakiwa kutimuliwa dsm maana hawahitaji wazurulaji kabla teuzi hajapewa, huu ndo mda anao kesha kanisani, akipewa teuzi tutampenda kwa matamko
 
Back
Top Bottom