Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

Kwani huu ulezi alipewa au alijipachika mwenyewe...kwanza tuache mpa promo sana maana magufuri hachelewi badili maamuzi na kumpa shavu tena
 
Hizi stress zinatokana na ugumu wa maisha au nini ?
 
Hili kombora noma[emoji1787][emoji1787]
 
Mikia Fc nao wamfukuze nafasi ya ushauri
 
Nadhani alipewa nafasi hiyo kwa merit ya uwezo wake binafsi na mapenzi yake kwa WASAFI na hakupewa kwa sababu ni mkuu wa mkoa. Hivyo hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mkuu wa mkoa nakuilea na kuishauri WCB Wasafi
Uwezo gani?
 

Muweke na akiba ya maneno.mchakato bado huu.halafu pia ya Mungu mengi .mkuu ana nafasi zake 10 za kuteua wabunge.pia ana mamlaka ya kuteua wakuu wa mikoa pia.Magufuli atapita urais atateua wabunge kumi na atapanga upya baraza la mawaziri.
 
Naunga mkono hoja na akafie mbali huko kolomije
 
Nashauri Simba pia tumtoe nafasi ya ushauri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…