Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Wasafi wakiwa bado na kidonda cha Nabii Shilla kuudhihaki ukristo na kupigwa faini, TCRA bado wanawalia timing na leo wametakiwa kuomba radhi kutokana na interview ya Zuchu kutumia 'lugha chafu ya matusi ya nguoni isiyo na staha' kwenye kipindi cha 'Refresh'. Pia kipindi hicho kimewekwa chini ya uangalizi.
Katika utetezi wake, Zuchu amesema ana mikataba inayomzuia kutumia lugha chafu na kudai inawezekana katika matamshi yake hakufungua mdomo wake vizuri na lafudhi yake ya kizanzibari alitamka neno mtambo vibaya na kusababisha tafsiri yenye utata.
PIA, SOMA=> Zuchu nimekusikia vizuri ama?