Najaribu kununua wimbo maarufu wa Kitanzania, kwenye tovuti maarufu ya Kitanzania lakini siupati na haupo. Zaidi ya yote hakuna hata wimbo mmoja wa King, mwenye Bongo Fleva yake...
Sio poa, mnavyotufanyia!
View attachment 576081
[emoji106]Huu uzi mods wauhamishie kwenye jukwaa la jokes..
Kama muanzisha maada uko serious huelewi kwanini hakuna wimbo hata mmoja wa kiba wasafi.com basi unatakiwa kupuuzwa maana ujinga wako sio wa level ya kuelekezwa ukaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipofikia una Mchango gani kwake ?Huyu diamond akiacha uswahili atatajirika sana
Alipaswa kutenganisha mziki wake na biashara zingine
Aache utoto alipaswa kufanya hyo tovuti ka biashara inayojitegemea so that hata kama ana beef na MTU hyo haihusiani na kampuni
Aache utoto na uswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu diamond akiacha uswahili atatajirika sana

Hii inaonyesha namna gan huyu mtoa Uzi anamkubali sana dangoteMuulize mwenye mwimbo kwanini hajataka kuuzia hapo.
Wimbo unawekwa kwa mkataba uliosaniwia na yeye na msanii.na ali kiba alishaombwa kuhusu kuweka nyimbo zake wcb.com akakataaHuyu diamond akiacha uswahili atatajirika sana
Alipaswa kutenganisha mziki wake na biashara zingine
Aache utoto alipaswa kufanya hyo tovuti ka biashara inayojitegemea so that hata kama ana beef na MTU hyo haihusiani na kampuni
Aache utoto na uswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa tumbo.
Huyu diamond akiacha uswahili atatajirika sana
Alipaswa kutenganisha mziki wake na biashara zingine
Aache utoto alipaswa kufanya hyo tovuti ka biashara inayojitegemea so that hata kama ana beef na MTU hyo haihusiani na kampuni
Aache utoto na uswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli common sense isn't common, nani mwenye haki za kuruhusu wimbo wake uuzwe, Muimbaji au mmiliki wa tovuti? Hapa tatizo ni la msanii wako ambaye hajasambaza wimbo wakeHuyu diamond akiacha uswahili atatajirika sana