WasafiDotKom Mungu anawaona

WasafiDotKom Mungu anawaona

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Najaribu kununua wimbo maarufu wa Kitanzania, kwenye tovuti maarufu ya Kitanzania lakini siupati na haupo. Zaidi ya yote hakuna hata wimbo mmoja wa King, mwenye Bongo Fleva yake...

Sio poa, mnavyotufanyia!

Screenshot from 2017-08-27 15:35:24.png
 
Najaribu kununua wimbo maarufu wa Kitanzania, kwenye tovuti maarufu ya Kitanzania lakini siupati na haupo. Zaidi ya yote hakuna hata wimbo mmoja wa King, mwenye Bongo Fleva yake...

Sio poa, mnavyotufanyia!

View attachment 576081

Kama muanzisha maada uko serious huelewi kwanini hakuna wimbo hata mmoja wa kiba wasafi.com basi unatakiwa kupuuzwa maana sio wa level ya kuelekezwa ukaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu diamond akiacha uswahili atatajirika sana
Alipaswa kutenganisha mziki wake na biashara zingine
Aache utoto alipaswa kufanya hyo tovuti ka biashara inayojitegemea so that hata kama ana beef na MTU hyo haihusiani na kampuni
Aache utoto na uswahili

kabisa! hapa ndipo wabongo tunapofeli
 
Huyu diamond akiacha uswahili atatajirika sana
Alipaswa kutenganisha mziki wake na biashara zingine
Aache utoto alipaswa kufanya hyo tovuti ka biashara inayojitegemea so that hata kama ana beef na MTU hyo haihusiani na kampuni
Aache utoto na uswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo unawekwa kwa mkataba uliosaniwia na yeye na msanii.na ali kiba alishaombwa kuhusu kuweka nyimbo zake wcb.com akakataa
 
Huyu diamond akiacha uswahili atatajirika sana
Alipaswa kutenganisha mziki wake na biashara zingine
Aache utoto alipaswa kufanya hyo tovuti ka biashara inayojitegemea so that hata kama ana beef na MTU hyo haihusiani na kampuni
Aache utoto na uswahili

Sent using Jamii Forums mobile app

Akili hiyo anayo?
 
Kweli common sense isn't common, nani mwenye haki za kuruhusu wimbo wake uuzwe, Muimbaji au mmiliki wa tovuti? Hapa tatizo ni la msanii wako ambaye hajasambaza wimbo wake
 
Back
Top Bottom