Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaujua umbali wa mwanza to dar wewe..? Hlf ukose siti!!! Hiyo sheria yako lzm ivunjwe tu..Mkuu, naomba nikukumbushe tu kwamba kosa huwa halifutwi kwa kutenda kosa lingine
Dahhh...Unaujua umbali wa mwanza to dar wewe..? Hlf ukose siti!!! Hiyo sheria yako lzm ivunjwe tu..
Hahaha nini mkuuMndali ndanyelakakomu, Naona wewe umeamua kwa utashi wako kuweka rehani maisha yako kabisaaa.....
Bro. Ushimen hakuna kitu nathamini km safari yangu,ninapokuwa kwenye huu usafiri wetu wa umma najitahidi kutojihusisha na jambo lolote lisilonihusu.No Escape, Naomba nianze na wewe binafsi umechukuwa hatuwa zipi baada ya kuona tatizo hilo..!!??
Isije ikawa hapa unalalamika tu kwa hicho kitendo unacho kishuhudia na kesho akafanyiwa mama/shangazi/mjomba wako huko kijijini.
Haya mambo tunapaswa kuyakemea kwa nguvu zote.
Haya sema hapo mpo mkoa gani ili tykupe namba ya RTO