Wasafiri: Tujuzane yanayojiri tuwapo safarini

Iv wale abiria wanaofunguaga madirisha wakati basi lipo full kiyoyosi wanatafutaga nini huko nje?

Iv wale waliokua wanatapika kwenye rambo siku hizi wanatapikia wapi au baada ya rambo kula bann hawatapiki tena?

Akuna safari ndefu inayokuaga fupi kama nikikaa siti moja na bint mrembo na muongeaji..

Na akuna safari inayoboa kama nikikaa na mmama kibonge au mbaba kibonge.
 
Unaujua umbali wa mwanza to dar wewe..? Hlf ukose siti!!! Hiyo sheria yako lzm ivunjwe tu..
Dahhh...
Mkuu, hakuna barabara ninazo zifahamu mithili ta kiganja changu kama barabara za ndani ya Tz.
Na niseme tu wazi kwamba itakuwa abiria amefanya uzembe mkubwa ikiwa ata anzisha ugomvi ama mabishano na Kondakta. Na pia abiria anapo kubali kusafiri hata kutoka Dar to Moro pasipo kuwa na seat, huo ni upuuzi mkubwa na uzembe wa kujitakia.
Mamlaka zipo.

Sheria zipo.
Mawasiliano yapo.
Barabarani askari wamejaa tele.

Mnapo toka ubungo askari huingia kukagua gari na kuhakikisha abiria wametimiziwa mahitaji yao.
Sasa kwanini wewe ugombane ama utumie nguvu nyingi kiasi hicho...!!??
 
Bro. Ushimen hakuna kitu nathamini km safari yangu,ninapokuwa kwenye huu usafiri wetu wa umma najitahidi kutojihusisha na jambo lolote lisilonihusu.
 
Mi huwa nakereka jtu unakuta linaangalia muvie, afu linajichekesha kwa nguvu ili nanyi mfuatilie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…