maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Nyokkkorikoko daaaNimeshangaa kuona ndege ya Ethiopia ilodondoka hamna MHAYA hata mmoja?!?!?!!
Kweli Magu nyokkkorikoko
Sent from Huawei Mate X
toa sababu mkuu kwanini nisisafiri keshoNafikiri kama kungelikuwa na Malaika anayepokea rushwa basi Malaika mtoa roho angeliongoza.
By the way Malaika mtoa roho anatembea na kapu la kuhifadhia roho anazozitoa ili afanye kazi yake kwa urahisi kabisa. Usisafiri kesho.
Utanishukuru baadae.
Kufa ni kitu kizuri kiongozi. Uzuri umemtanguliza Mungu na ukifa unaelekea kwa Mungu. Hamna tatizo kabisa.