maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Huu uzi ni special kwa ajili ya wanaosafiri wiki hili,tukutane hapa tupeane moyo na kuombeana mema
Maana kwa hali ya madereva wa mabasi ya mikoani hasa wa New force inabidi tu tukikabidhi kwa Mungu
Nianze mimi kesho nna safari ya kutoka Moro kwenda Iringa ata msipo niombea nitafika salama
Wasafiri wezangu tiririkeni tupeane moyo
I hope mu wazima wa afya
Sent using Jamii Forums mobile app