Wasafiri wanaopita Mkoa wa Morogoro kuanza kupimwa COVID-19

Wasafiri wanaopita Mkoa wa Morogoro kuanza kupimwa COVID-19

vipima joto vilivyo vingi ni vibovu kuna jamaa yangu mmoja alikuwa akipima joto kinasoma nyuzi 28,mpaka tukawa tunamuuliza wewe una damu ya chura au nini?
 
Ni kupoteza muda tu.

Mtu akiwa bado hajaanza kuonesha dalili zingine na joto linakuwa normal.
 
Back
Top Bottom