Wasafirishaji Mizigo:Ujerumani kwenda Tanzania

Wasafirishaji Mizigo:Ujerumani kwenda Tanzania

Kimbache

Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
10
Reaction score
13
Habari Zenu Wadau:
Naomba kufahamu anayejua yeyote anayehusika na usafirishaji Mizigo kwa Ndege na au Meli kutoka Germany kwenda Tanzania. Asante.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Humu ndani kuna watu wazito sana basi tu ni vile tunaishi kisela sana
Wanakuja mkuu
 
Back
Top Bottom