Wasafirishaji mnafanyaje hii biashara??

Wasafirishaji mnafanyaje hii biashara??

Biashara ya Gari:

Phase One: Inaingiza: Haili kabisa(Garage)—Ndio kipindi cha kukusanya hasa hela. PROFIT 95%

Phase Two: Inaingiza: Garage kidogo—Bado unakusanya kingi, ila sio kama phase one. PROFIT 80%
Phase One & Two just two years.

Phase Three: Inaingiza: Inakula kiasi kikubwa (Garage 50-60% of Running Cost). PROFIT 40-50%
Huu ni mwaka wa Tatu.

Hapa unapeleka njia ya pori, inafanya kazi kiangazi tu sababu abiria ni wengi, hawachagui gari, ni wavumilivu kwa delays tofauti na wamjini, mizigo mingi na abiria unabeba upto 50% zaidi ya uwezo—hence big revenue; So cash flow ni kubwa. MAY to OCTOBER.

Business model hii ndio inafanya kampuni kama Allys imedumu sana kwenye biashara. Nguzo ya Allys ni upcountry routes.
You are very right in this....case study ya allys hasa kwenye miji ya wasukuma anabeba sana hela.
Usinge
Mpeta
Kaliua
Urambo
Mpanda
Anapiga sana hela kipindi cha msimu.
 
-Hilo gari una uhakika wa abiria wa Kahama tuuu!
Jibu ni hapana. Hivyo,hesabu hiyo kwa siku huwezi kuipata.
-unajua maintenance ya gari?
-umeshaweka gharama utakazoibiwa?
Je, baada ya wiki likipata ajali?

Kwenye hesabu za biashara ukilenga faida bila kukumbuka na hasara utalia. Sema kwa hesabu zako,anaongezea kidogo anapata za mchina 2, hesabu itakayolala ndo hiyo hiyo
Umeonyesha upumbavu wa familia yako hapo uliposema je baada ya wiki likipata ajali😂😂😂 usiwe na mawazo ya kimaskini hujui kazi ya bima?
 
Unaweza kuitazama hivyo sababu kama mfu lakini matokeo ya wanasiasa na siasa za tanzania kwenye biashara ni habari sana

Kwahiyo wanasiasa waliingia kwa Hekima, Sumry, Hood, Sauli, Rungwe, Dar Express, Dar lux, Zainabu, BM etc etc. Hizo ni household names let alone mabasi yenye majina madogo. Same thing kwa biashara za macoster kichwa lazima kiwake moto. I know a thing or two about this business, politicians have nothing to do with it.
 
-Hilo gari una uhakika wa abiria wa Kahama tuuu!
Jibu ni hapana. Hivyo,hesabu hiyo kwa siku huwezi kuipata.
-unajua maintenance ya gari?
-umeshaweka gharama utakazoibiwa?
Je, baada ya wiki likipata ajali?

Kwenye hesabu za biashara ukilenga faida bila kukumbuka na hasara utalia. Sema kwa hesabu zako,anaongezea kidogo anapata za mchina 2, hesabu itakayolala ndo hiyo hiyo
Hiyo biashara ya mabasi wana piga pesa sana sasa ivi...
 
Biashara ya usafirilishaji nzuri sana, hapa kwenye huu mjadara mmekosa mtu mzoefu anae husika na hizo kazi. Akitokea muulizeni wanafunga vipi hesabu maana naelewa kwenye kila kichwa boss ana hela yake. Mfano nauli ya kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam ni 70k fanya tu kila kichwa tajiri achukue 20k tu hiyo nyingine iende kwenye shughuli za uendeshaji. Ingekuwa hailipi Abood asingeifanya kitaalamu zaidi namna ile mpaka kufikia kuwa na yard ambapo mule kuna mafundi kila aina ameajiri. Jamaa anaifanya ki taaluma zaidi, nilipenda kwa kweli nilipo fika pale.
 
Just imagine milioni 700+ afu unapakia abiria 50 kwa elfu 50 Dar Kahama, unalipa wafanyakazi, engine kubwa inanyonya mafuta kama walevi wa KASKAZINI.

Bado ukodi ofisi, trafiki, Latra etc!!
Mnapigaje hapo???View attachment 2854877
Ndio maana wengi wanakimbilia mchina, pengine Kwa bei hiyo ya Scania unaweza kupata mchina zako tatu labda.

Mchina = Yutong, Zhong Tong, etc
 
Ukitaka kufanya biashara hii Fanya kwa kuhesabu idadi ya siti, kwa hela hio hapo mchina unapata siti 180 mara nauli ya 50,000 umeingiza mara tati
 
Kuna possibilities hawa jamaa wanatakatisha fedha za madawa ya kulevya!!
Ukiwa na mindset kama hii hakuna biashara unaeza fanya ukafaulu. Yaani lama.huyo abood anapiga pesa balaa na risk kwa biashara ya dar moro ni ndogo sana .
Halafu mtu wa kutakatisha pesa hawezi eka hela yake barabarani kwenye risks kibao , huwa wanaweka ardhini kwenye ujenzi wa expensive properties.
 
-Hilo gari una uhakika wa abiria wa Kahama tuuu!
Jibu ni hapana. Hivyo,hesabu hiyo kwa siku huwezi kuipata.
-unajua maintenance ya gari?
-umeshaweka gharama utakazoibiwa?
Je, baada ya wiki likipata ajali?

Kwenye hesabu za biashara ukilenga faida bila kukumbuka na hasara utalia. Sema kwa hesabu zako,anaongezea kidogo anapata za mchina 2, hesabu itakayolala ndo hiyo hiyo
As per your own belief and limitations ni sawa.

Waachie wenyewe wanaonunua wanajua faida yake
 
Biashara ya usafirilishaji nzuri sana, hapa kwenye huu mjadara mmekosa mtu mzoefu anae husika na hizo kazi. Akitokea muulizeni wanafunga vipi hesabu maana naelewa kwenye kila kichwa boss ana hela yake. Mfano nauli ya kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam ni 70k fanya tu kila kichwa tajiri achukue 20k tu hiyo nyingine iende kwenye shughuli za uendeshaji. Ingekuwa hailipi Abood asingeifanya kitaalamu zaidi namna ile mpaka kufikia kuwa na yard ambapo mule kuna mafundi kila aina ameajiri. Jamaa anaifanya ki taaluma zaidi, nilipenda kwa kweli nilipo fika pale.
Abood alitengeneza jina kitambo anakula faida ya jina,pia kumbuka ni kada akiacha TU ukada na biashara zitakufa
 
Back
Top Bottom