RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
• Mhadhara (80)✍️
Kule jijini Tanga (tena katikati ya jiji) ifikapo kuanzia saa tatu na nusu (21:30 Hrs) usiku hakuna usafiri wa daladala, bodaboda, wala bajaj licha ya kuwa abiria wanakuwepo.
Tanga ni jiji zuri sana lakini linadorora kwasababu ya uvivu kutoka kwa wenyeji. Ukichelewa kufika Tanga mjini usiku kama usipowakuta wale wasambaa wa kutoka Lushoto na Mashewa ambao wanaendesha baiskeli jijini Tanga walahi utatembea kwa miguu mpaka nyumbani kwako.
Vijana wa Tanga punguzeni uvivu, sasa hivi bandari yenu ya Tanga imeboreshwa, hivyo kupark vyombo vyenu vya usafirishaji (daladala, taksi, bajaj & pikipiki) saa tatu usiku ni uvivu ambao unakwamisha maendeleo yenu.
RIGHT MARKER
Dar es salaam