ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ahsante, Nitalifanyia kazi
Safii[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]Lazima anenepe Mungu kamuepusha na kifo. Ni zamu ya muuaji kukonda kwa mawazo na aibu.
Sura mbaya, roho mbaya likaishia kuzaa na shemeji yake mdogo wake na mke wake toka nitoke!
Habari wakuu.
Natoa wito kwa washauri wa mh.Lissu ajitahidi kufanya Mazoezi maana tangu karejea nyumbani kanenepa kweli kweli na anazidi kuchana. Kiukweli nyumbani ni kutamu hata kuwe porini.
Mwisho namtakia kila la heri kwenye kampeni yake.
NI YEYE 2020.
Mshaurini kwanza Magufuli apate usingizi wa kutoshaHabari wakuu.
Natoa wito kwa washauri wa mh.Lissu ajitahidi kufanya Mazoezi maana tangu karejea nyumbani kanenepa kweli kweli na anazidi kuchana. Kiukweli nyumbani ni kutamu hata kuwe porini.
Mwisho namtakia kila la heri kwenye kampeni yake.
NI YEYE 2020.
Aache kumlaumu Nyerere anatuudhi hata tunaomwona anafaa.Habari wakuu.
Natoa wito kwa washauri wa mh.Lissu ajitahidi kufanya Mazoezi maana tangu karejea nyumbani kanenepa kweli kweli na anazidi kuchana. Kiukweli nyumbani ni kutamu hata kuwe porini.
Mwisho namtakia kila la heri kwenye kampeni yake.
NI YEYE 2020.
AiseeeLazima anenepe Mungu kamuepusha na kifo. Ni zamu ya muuaji kukonda kwa mawazo na aibu.
Sura mbaya, roho mbaya likaishia kuzaa na shemeji yake mdogo wake na mke wake toka nitoke!
Nywele za wapi?Pia mwambieni achane nywele
Wabongo mnapenda sana story za Vijiweni,kuna kijiwe kimoja nilipita nikasikia eti Mbowe ni mtoto wa nje wa Nyerere! Mara Jakaya na Membe wote watoto wa Baba mmoja!!Lazima anenepe Mungu kamuepusha na kifo. Ni zamu ya muuaji kukonda kwa mawazo na aibu.
Sura mbaya, roho mbaya likaishia kuzaa na shemeji yake mdogo wake na mke wake toka nitoke!
Na TZ tuna Mobutu wetu.
Hili la kumlaumu Mwalimu silijui maana hujabainisha kamlaumuje,japo kiukweli kumlaumu marehemu haitasaidia.Aache kumlaumu Nyerere anatuudhi hata tunaomwona anafaa.
Nyerere alijitahidi kuuweka kando moyo wa ubinafsi na akatulelea Tz yetu hadi yeye ameikuta salama lakini kwenye hotuba zake ni kama mchango wa Nyerere hajauona.
Halafu ni kama anaanza kulewa sifa vile hata kabla hajashinda uchaguzi, hizo ni dalili mbaya za kuja kuwa rais asiyeambilika na mbishi.
Pia kuna kadharau fulani ameanza kukajenga.
Yangu ni hayo.
Namtakia kila la heri.