ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #21
Huyo mzee anazidi kuzeeka vibaya kila kukicha anakonda na hasira zinazidi kiasi kwamba anapoteza control ya maneno yakeMshaurini kwanza Magufuli apate usingizi wa kutosha
Naongezea kua awe anachana nywele kabla ya kupanda jukwaani, mgombea unapanda jukwaani nywele zimejisokota utadhani katoka kuamkaHabari wakuu.
Natoa wito kwa washauri wa mh.Lissu ajitahidi kufanya Mazoezi maana tangu karejea nyumbani kanenepa kweli kweli na anazidi kuchana. Kiukweli nyumbani ni kutamu hata kuwe porini.
Mwisho namtakia kila la heri kwenye kampeni yake.
NI YEYE 2020.
Ukiona hivi maana yake watu wanamkubali wanataka aweke muonekano mzuri zaidi kwenye mambo madogo madogo.Wenye akili ndogo hasa wanawake huwa wanashawishika na personality tu ya mtu,mtu Kama Magu Hana sura kinachomsaidia na tusuti sutu,hukumbuki wakati wa kampeni pia na alivyoingia ikulu Magu alikuwa ana overdress nk lakini saizi Wasaidizi wamempatia kwenye dressing code Ila matendo na matamshi alishaga shindikanaHiki ndicho pekee mnachoweza kusema? Zile spana lazima mchanganyikiwe mhamishe hoja.
Huyo ndiye Tundu Lissu, mpinzani pekee ninayempenda na kumuamini [emoji1430][emoji1430]
Kama sio yeye mwaka huu nisingepiga kura.
Mkuu hata bullet proof huijui..Ananenepa kwa michango ya wajinga
daaah😏Lazima anenepe Mungu kamuepusha na kifo. Ni zamu ya muuaji kukonda kwa mawazo na aibu.
Sura mbaya, roho mbaya likaishia kuzaa na shemeji yake mdogo wake na mke wake toka nitoke!
Eh? Mkuu, hivi hii Stori huwa no kweli ama no stori za vijiweni tu? Inaendeleaje had I sasa?Lazima anenepe Mungu kamuepusha na kifo. Ni zamu ya muuaji kukonda kwa mawazo na aibu.
Sura mbaya, roho mbaya likaishia kuzaa na shemeji yake mdogo wake na mke wake toka nitoke!
...Mkuu, hata Putin na Kagame Wanazivaa hizo Bullet Proof Vest lakini bado wanaonekana Smart.Mkuu hata bullet proof huijui..
Mwenyekiti wa saccos kambania, inabidi aanze kutembeza bakuli. Mungu, iepushe Tanzania dhidi ya mikono ya huyu mjumbe wa beberu. AmenMICHANGO INAMNENEPESHA HUYU NDG
Lissu siku zote ni mtu mwenye furaha na tabasamu na ndiyo siri ya yeye kupona, mizunguko ya kampeni anayoifanya ni zaidi ya mazoezi kwani muds wote anatembea na kuongea; siri kubwa ya yeye kunenepa ni ongezeko la kila siku la watu kupenda kumsikiliza hivyo hana hofu wa shaka.Habari wakuu.
Natoa wito kwa washauri wa mh.Lissu ajitahidi kufanya Mazoezi maana tangu karejea nyumbani kanenepa kweli kweli na anazidi kuchana. Kiukweli nyumbani ni kutamu hata kuwe porini.
Mwisho namtakia kila la heri kwenye kampeni yake.
NI YEYE 2020.