Wasalaaammm...

Wasalaaammm...

Mbabe hunter

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Posts
327
Reaction score
477
Nawasalimia wanaJF chit-chat Mara ya mwisho nimeonekana humu mwishon mwa 2016 niliwamiss na nimerejea tena japo Mara chache nlikuwa nachungulia bila kuandika wala moment chochote.. Nafurah majina mengi niliyoyakuta na kuyaacha bado yapo na mengine mapya.. Bila shaka mko njema kama mimi niko njema kabisaaaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]looh ndio mkuu nimeolewaa ulikuwa unanimezea mateeee
Nilikuwa nakumezea kwakweli sema nikapotea nimerudi nakuta huku ni mapenz tu wadada wazuri wote eti mmebebwa wazi waziii.. [emoji22] [emoji22]
 
Back
Top Bottom