Wasaliti Leo Mwenzenu Anapiga Mpunga

Wasaliti Leo Mwenzenu Anapiga Mpunga

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Kwa wale ambao ni wasaliti ikiwa ni kwenye ndoa zao,au ktk patnership za biashara au kazi nawakumbusha tuu kwamba mwenzenu Yuda leo ameishaingiza madola yake haramu toka jana.

Endeleeni na hizo tamaa zenu ila nawakumbasha zitawakosti siku moja
 
Yamekua Ayo Tena!
IMG_20210312_225318.jpg
 
Nasikia afisa mkuu tcra nae keshatusaliti waTz, keshavuta chake kutoka kwa makampuni ya simu
 
Back
Top Bottom