jimmykb197
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 485
- 482
Kwa upande wangu mimi naamini imani niliyonayo si potofu na simkosoi mtu na imani yake. Mimi naamini kuna Mungu mmoja aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyopo, vinavyo onekana kwa macho ya damu na nyama na visivyo onekana kwa macho ya damu na nyamaSawa, unapozungumzia roho unazungumzia suala la imani, lakini imani nayo kuna imani potofu.
Si imani zote ni sahihi. Nyingine ni potofu.
Sasa, unajuaje kwamba ukiamini roho ipo hujaamini imani potofu ya kuamini kwamba kitu ambacho hakipo kipo?
Unajuaje kwamba imani yako ni sahihi na si potofu?
Kuamini tu unaruhusiwa kuamini chochote.Kwa upande wangu mimi naamini imani niliyonayo si potofu na simkosoi mtu na imani yake. Mimi naamini kuna Mungu mmoja aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyopo, vinavyo onekana kwa macho ya damu na nyama na visivyo onekana kwa macho ya damu na nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari umeshasema kuamini unaruhusiwa kuamini chochote, na wao wanaamini ng'ombe ni kiumbe kitakatifu. Huo ni upande wao haunihusu mimi, mimi naamini tofauti na imani hiyo. Kwangu mimi ng'ombe ni chakula.Kuamini tu unaruhusiwa kuamini chochote.
Kuna Wahindi wanaamini ng'ombe ni kiumbe mtakatifu, na huko kwao India watu wanapata tabu sana kwenye suala na ng'ombe.Ukila nyama ya ng'ombe wanaweza kukuua.
Ndiyoimani yao.
Lakini je, wao kuamini kwamba ng'ombe ni kiumbe mtakatifu kunamfanya ng'ombe awe kiumbe mtakatifu?
Wewe unakubali kwamba ng'ombe ni kiumbe mtakatifu?
1.Imani yako katika faragha zako unaruhusiwa kuamini chochote kama tulivyoona hapo juu.Ukiamuakuamini chochote, hakuna anayeruhusiwa kukuhoji, labda kama umemuingilia katikaeneo lake, umemvunjia heshima au sheria. Hilo tushakubaliana.Tayari umeshasema kuamini unaruhusiwa kuamini chochote, na wao wanaamini ng'ombe ni kiumbe kitakatifu. Huo ni upande wao haunihusu mimi, mimi naamini tofauti na imani hiyo. Kwangu mimi ng'ombe ni chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiniulize maswali yanayohusu imani ya watu wengine ambyo mimi siamini katila hiyo, kwa sababu sitakuwa na maelezo yoyote wala sitakujibu chochote kuhusu imani ya mtu mwingine. Siwezi kutolea maelezo jambo nisilokuwa na uelewa nalo. Angalau ukiniuliza yanayohusu imani yangu naweza kukujibu1.Imani yako katika faragha zako unaruhusiwa kuamini chochote kama tulivyoona hapo juu.Ukiamuakuamini chochote, hakuna anayeruhusiwa kukuhoji, labda kama umemuingilia katikaeneo lake, umemvunjia heshima au sheria. Hilo tushakubaliana.
2. JF ni ukumbiwa mjadala.
3.Ukileta habari za imani yako JF, ushajiondolea faragha zakokuhusu imani hiyo (kwa sababu JF ni ukumbi wa mjadala kama tulivyoona hapo namba 2 juu. Tunaruhusiwa kukuuliza "Kwa nini unaamini hivi na si vile?" na ukishindwa kutetea imani yako,utaendelea kuruhusiwa kuamini, lakini utaonekana unaamini imani potofu au ambayohuielewi vizuri kuielezea.
4. Ungekuwa na uhuru wa kusema "wanaoamini ng'ombe huo ni upande wao, hawanihusu" kamaungekuwa hujajiingiza katika mjadala wa imani, tumekufuata kwako tukakuuliza hilo swali.Lakini, madam ushajiingiza katika mjadala wa imani, suala hilo linakuhusu.Linakuhusu kwa sababu linaichambua imani yako.Linaichambua imani yako kwa sababu linahoji dhana ya kwamba imani ipi ni potofu.
Unaamini ng'ombe ni kiumbe kitakatifu kama wanavyoamini wahindi?
Sijakuuliza maswali kuhusu imani ya mtu mwingine, nimekuuliza maswali kuhusu imani.Usiniulize maswali yanayohusu imani ya watu wengine ambyo mimi siamini katila hiyo, kwa sababu sitakuwa na maelezo yoyote wala sitakujibu chochote kuhusu imani ya mtu mwingine. Siwezi kutolea maelezo jambo nisilokuwa na uelewa nalo. Angalau ukiniuliza yanayohusu imani yangu naweza kukujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye wauahudi waliobakia nchini kwao ndiyo waliitwa wasamaria nimekuelewa na ni kweli kabisa mkuuWatu bado huwa wanachanganya sana,
yale makabila 10 ya wana wa israel,sio Wayahudi.
Wayahudi ni yale makabila mawili Yuda na benjamini,
pia ukweli mwingine baada ya ufalme wa israel kuangushwa na waasyria,sio waisrael wote waliende utumwani,ni baadhi tu na waliobaki ndo walianza kubaguliwa na wayahudi,wakiitwa wasamalia.
Na hadi yesu anazaliwa huo utamaduni wa kuwabagua waisrael na kuwaita wasamaria uliendelea,
bibilia haisemi hatima ya makabila kumi,kwasababu wayahudi walifanya juu chini kuhakikisha wanazipoteza record zote na wakahitimisha eti mungu wao alisema atawapoteza na hawatapatikana tena,yote ile si kweli,
na pia suala la kupelekwa utumwani baadhi ya watu wenye Talents zao nchi yao inapotekwa ilihusu jamii nzima ya eneo hilo na haikuhusu wayahudi ama waisrael pekee,
japo sasa wayahudi wakabuni vifungu vya kuonyesha eti ilikuwa ni adhabu ya jehova kwa wayahudi kutomtii maagizo yake
Hapo kila mtu ataona kwake ndiyo sahihi ndiyo maana anaamini katika hiyo anayoamini, kuwa potofu kunatokana na aidha ameona ya mwingine ikiwa na ubora zaidi kuliko yakwake au ameshawishiwa na kuvutika na hiyo ingine. Pia maelezo ya kina yanahitajika ili mtu ajionee mwenyewe kama anaweza kuhama kutoka imani yake kwenda imani ingineSijakuuliza maswali kuhusu imani ya mtu mwingine, nimekuuliza maswali kuhusu imani.
Kama hujaelewa hilo,huelewi imani ni nini.
Kimsingi kuna maswali mawili hujayajibu.
1. Inawezekana imani ikawa potofu?
2. Kama inawezekana imani ikawa potofu, unajuaje kwamba imani yako si potofu?
Hujajibu maswali haya.
La kila mtu kuamini kwake kuko sahihi mbona halina mjadala na nishaliongelea hapo juu.Hapo kila mtu ataona kwake ndiyo sahihi ndiyo maana anaamini katika hiyo anayoamini, kuwa potofu kunatokana na aidha ameona ya mwingine ikiwa na ubora zaidi kuliko yakwake au ameshawishiwa na kuvutika na hiyo ingine. Pia maelezo ya kina yanahitajika ili mtu ajionee mwenyewe kama anaweza kuhama kutoka imani yake kwenda imani ingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana nimekwambia kila mtu na anavyoona nafsini mwake kuwa imani yake ni sahihi ndipo usahihi wake unapopatikana, kwa mfano mimi binafsi naamini imani yangu ni sahihi kulingana na mafundisho niliyokuzwa nayo juu ya imani yangu. Na kwamba nikienda kinyume na mafundisho hayo basi nitakuwa nimepotoka! Ni hivyo tu mkuu.La kila mtu kuamini kwake kuko sahihi mbona halina mjadala na nishaliongelea hapo juu.
Ukishaamini kwamba ng'ombe ni Mungu, umeshaamini, hakuna mjadala kama unaamini hilo.
Mjadala upo kwenye swali hili, je, unachoaminini kweli? Huyo ng'ombe unayeamini kwamba ni Mungu, ni Mungu kweli au unaamini jambo ambalo halina uhalisi?
Na kama nilivyosema awali, hili swali ni la faragha za mtu binafsi.
Ila, kwa sababu mmeleta mjadala hapa, mmeondoa faragha za binafsi na kuliweka swali wazi kwa mjadala.
Bado hujajibu swali.
Unajuaje kwamba imani yakoni sahihi na si potofu? Au umekubali tu kuamini bila kujiuliza swali hilo?
Sawa.Ndiyo maana nimekwambia kila mtu na anavyoona nafsini mwake kuwa imani yake ni sahihi ndipo usahihi wake unapopatikana, kwa mfano mimi binafsi naamini imani yangu ni sahihi kulingana na mafundisho niliyokuzwa nayo juu ya imani yangu. Na kwamba nikienda kinyume na mafundisho hayo basi nitakuwa nimepotoka! Ni hivyo tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata kumsikiliza Joseph Butiku akisema kuwa tunajifunza demokrasia ya Kigiriki lakini demokrasia ya Kingoni hatujifunzi.Watu wanapenda na kujua historia ya Wayahudi na Wasamaria walioishi miaka maelfu na maelfu mbali huko, lakini ukiwauliza historia ya Mwanamalundi, Kinjekitile, Mkwawa au David Kidaha Makwaia walioishi takriban miaka mia moja iliyopita kwetu hawaijui.
Hili ni jambo la aibu.
Ndiyo maana inakuwa rahisi kutuaminisha kwamba sisi si watu kamili.
Mkuu Kituko ukisema Wayahudi walikuwa wakiishi kwa kutumia Torati basi utakuwa unakosea manake hadi kesho, Wayahudi wanatumia Torati!!Haina uhusiano na hilo aliloliandika mtoa maada, Wayahudi walikuwa wakiishi kwa kutumia Sheria Torati, na wao walikuwa na Mungu wao ambaye alikuwa ni tofauti na Mungu wa Mataifa mengine, Hivyo wao KWENYE SHERIA ZAO NDIO WALIOAMBIWA WASICHANGAMANE NA WATU WENGINE, YESU ALIKUJA KUZIBADIRISHA HIZO SHERIA ZA KIMWILI NA KUZIFANYA KUWA ZA KIROHO