Uchaguzi 2020 Wasambaa tuamkeni jamani, miaka mitano jimbo la Bumbuli ni aibu tupu

Alishatangaza hagombei tena mwaka huu

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Nan aliwaambia mchague CCM
Mnavuna mlichopanda

god is good
Mkuu ukitaka upambanue Mambo jitahidi kutoegemea upande wowote.

Wapo watu ndani ya CCM wanafanya Mambo makubwa kiasi hata CHADEMA hawana hao watu.

Na wapo CHADEMA wenye mawazo na akili kubwa CCM hamna.

Kwa hiyo naweza nimpe uraisi mtu wa CCM na ubunge nikampa CHADEMA.

Kama vyama pinzani vilishindwa kuweka mgombea Hilo sio kosa langu wala la wana Bumbuli.

Siwezi kuchagua jiwe bora nikalale tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umesahau na tungi lao BOHA!
 
SUBJECT sio WASAMBAA ni wana BUMBURI....!

The good, the bad and the ugly.
 
Tatizo letu uchaguzi ukifika hua tunachagua wasomi wasio na Akili,
Kumbuka Akili ndo mpango mzima na si Elimu hivi vitu viwili havina uhusiano kabisa una elimu lakini huna Akili huwezi
Kutusaidia tuwe makini na hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe huyu dogo nae ni mpigaji tu, kawasahau wananchi wake hivi!

Kuvaa mashati na kukunja ni njia tu yakuwaada wananchi kwamba yeye ni obama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…