QUEENITOR
Member
- Mar 14, 2014
- 32
- 14
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ali kiba na ile nyimbo yake ya tembo wanakula sungura nayo imebuma au we unaonaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ali kiba na ile nyimbo yake ya tembo wanakula sungura nayo imebuma au we unaonaje
Wimbo wa Baraka umebuma? ukiuangalia kwa mtazamo wa kiteam ni rahisi kusema hivyo, ila ni moja ya wimbo mkali kutolewa hivi karibuni.[/QUOTEp
Labda bongo MTV Base unachezwa sana... Dogo matawi ya juu sana.. Jana kwenye TWOSDAY kipindi cha MTV kapigwa ngoma mbili..vitoto vya wasafi vinamuogopa kishenzi...
Kwani term kiba haipo mbona naona nae yupo kwenye listMzik Mzur unapotea sababu ya watu kushabikia team, media ndo zinasupport upuuz huu