Wimbo wa Baraka umebuma? ukiuangalia kwa mtazamo wa kiteam ni rahisi kusema hivyo, ila ni moja ya wimbo mkali kutolewa hivi karibuni.[/QUOTEp
Labda bongo MTV Base unachezwa sana... Dogo matawi ya juu sana.. Jana kwenye TWOSDAY kipindi cha MTV kapigwa ngoma mbili..vitoto vya wasafi vinamuogopa kishenzi...