Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

Jamani mwenye application ya android ya kuangalia hizi muvi anijuze
 
Kama mie aisee napenda sana movie za kihindi siku hizi .....umkute Akshay Kumar, Salman Khan na Shahruk Khan kwenye movie yoyote lazima itakuwa nzuri balaa.........wahindi wako vizuri ila siyo kwenye action movie.
Ni kweli, action movies zao ziko kwenye komputer zaidi
 
Hivi katika hiyo list, hakuna aliyecheza movie ya Vishwatma?
VISHWATMA ni movie iliyochezwa na Divya Bhati, Sunny deol, Naseerudd Inshaa, Chunky Pandey na Sonam. Wengi wao sio famous sana kipesa. Unaweza ukawa umeanza zamani lakini wakakupita waliokuja karibuni kama mfano diamond. Isitoshe movie moja haitoshi kukuingizia mkwanja mrefu, ni lazima uwateke wapenzi katika movie
 
Ni professor kwenye ile movies, nafikiri kama ni mtu wa shule basi utaelewa kua hakuna professor anaekubali kushindwa, hata kama anaamini kua kuna mwanafunzi ana kipaji zaidi
Tulikuwa na mwehu mmoja pale UDSM alikuwa mlemavu wa mguu, yaani ni viruthi moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…