Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

ingawa govinda ametamba kwa muda wake, na amekua maarufu kwa movie kama Saajan chale sasural, Naseeb, Hero No. 1, Hum. Kwa kipindi kirefu hajahit sana kwenye industry
Kumbe jamaa kukata kote viuno kwenye nachi hamna kitu,namkumbuka sana kwa muvi mbili tu Hatya na muqabla..
 
Shahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Nifah!
 
Shahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Hata mi huku kwetu Mbagala kwa Nyoka wananiita Shahrukh Khan...namba zangu ni sufuri saba nane nane nane nane saba saba tisa miambili tisini.
 
Mimi kwenye filamu za kihindi hupenda wale watoto wa kike aisee...Kuna Depika Pedikuno,Priyanka Chopra,Sonakshi Sinha halafu kuna yule binti wa Anil Kapoor akiitwa Sonam Kapoor yaani daaah mtoto mzuri yule!.
Ila nilipokomea ni kwa Katrina Keif,mtoto namuwazia yule acha tu ana shauzi fulani hivi linanikumbusha binti wa zamani kweye muvi za kihindi ambaye kwa sasa ashakuwa mzee tena akiitwa Dimpo Kapadia.
Hapo bado hujawataja kina Neelam,Manisha Koirala,Ravena Tandom,Tabu,Karisma Kapoor kwa zamani kdg.
Kati hapa walikuwepo kina Kajol,Preity Zinta,Sushmita Sean,Rani Mukerji kwa kutaja wachache.
Wadada wa kihindi wako njema sana.
 
bila kusahau priyanka chopra, aishwarya rai, bipasha basu,kareena kapoor,na katrina kaif
 
hizi ndo best movies za kihindi kuzikosa ni kosa la jinai

1:na tuum jaano na hum, humu yupo fundi hrithic roshan,na esha deol,preeti janghan na rati agnihotri

2:thank you, humu yupo akshay kumar boby deol na sunil shetty bila kumsahau irrfan khan

3:race 1&2 humu yupo saif ally khan,anil kapoor na john abraham

4:desi boys humu yupo john abraham na akshay kumar

5:fan yupo shah rukh khan

6:air lift humu yupo akshay kumar

7:dhadkan, humu yupo sunil na akshay
8:darr, humu shah rukh khan kakutanishwa na mbabe sunny deol
9:karz, humu wababe walikutana ambao ni sunil na sunny deol

10:mohhabatein, humu yupo mzee wa totozi uday chopra, shah rukh khan na amita batchan

11:rudraksh humu sunil ame act kama shetani alaf vilevile yeye ndio adui starring ni sanjay dutt
12:bila kusahau movie ya karne DHOOM 2
 
Back
Top Bottom