Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

 
Shahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Nifah!
 
Shahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Hata mi huku kwetu Mbagala kwa Nyoka wananiita Shahrukh Khan...namba zangu ni sufuri saba nane nane nane nane saba saba tisa miambili tisini.
 
Huyu Sanjay Dutt kaanza haya mambo muda mrefu sana mbona hana mafanikio?
Sawa na diamond wa juz ila anapesa na kuna waliomtangulia miaka na miaka ila wanasugua
 
Mimi kwenye filamu za kihindi hupenda wale watoto wa kike aisee...Kuna Depika Pedikuno,Priyanka Chopra,Sonakshi Sinha halafu kuna yule binti wa Anil Kapoor akiitwa Sonam Kapoor yaani daaah mtoto mzuri yule!.
Ila nilipokomea ni kwa Katrina Keif,mtoto namuwazia yule acha tu ana shauzi fulani hivi linanikumbusha binti wa zamani kweye muvi za kihindi ambaye kwa sasa ashakuwa mzee tena akiitwa Dimpo Kapadia.
Hapo bado hujawataja kina Neelam,Manisha Koirala,Ravena Tandom,Tabu,Karisma Kapoor kwa zamani kdg.
Kati hapa walikuwepo kina Kajol,Preity Zinta,Sushmita Sean,Rani Mukerji kwa kutaja wachache.
Wadada wa kihindi wako njema sana.
 
bila kusahau priyanka chopra, aishwarya rai, bipasha basu,kareena kapoor,na katrina kaif
 
bila kusahau priyanka chopra, aishwarya rai, bipasha basu,kareena kapoor,na katrina kaif
Kweli mkuu nilimsahau Mlimbwende Aishwarya Rai na Kareena Kapoor.
Aishwary ni mke wa Abhishek Batchan ambaye ni mtoto wa Amita.
 
hizi ndo best movies za kihindi kuzikosa ni kosa la jinai

1:na tuum jaano na hum, humu yupo fundi hrithic roshan,na esha deol,preeti janghan na rati agnihotri

2:thank you, humu yupo akshay kumar boby deol na sunil shetty bila kumsahau irrfan khan

3:race 1&2 humu yupo saif ally khan,anil kapoor na john abraham

4:desi boys humu yupo john abraham na akshay kumar

5:fan yupo shah rukh khan

6:air lift humu yupo akshay kumar

7:dhadkan, humu yupo sunil na akshay
8:darr, humu shah rukh khan kakutanishwa na mbabe sunny deol
9:karz, humu wababe walikutana ambao ni sunil na sunny deol

10:mohhabatein, humu yupo mzee wa totozi uday chopra, shah rukh khan na amita batchan

11:rudraksh humu sunil ame act kama shetani alaf vilevile yeye ndio adui starring ni sanjay dutt
12:bila kusahau movie ya karne DHOOM 2
 
dharamraj mahyavansh na mkewe santo,wapo nafas ya ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…