Wasanii 2O wakatwa katika list ya wasanii wa kutumbuiza kwenye Fiesta Dar

Wasanii 2O wakatwa katika list ya wasanii wa kutumbuiza kwenye Fiesta Dar

Lulu diva si alikua juzi nae akijinadi maana wiki hii wasanii walikua wanakuja kuja mawingu
Lulu diva alisema kabisa hatakuepo kwasababu ya muda kwenye amplifaya.
 
Pole zao Ila umewabani wakina wowowowow huyo zaidi
 
Ndio wajifunze kuwa wameshika makali kuna aliyeshikilia mpini.
Kibiashara hilo lipo wazi ila ni jeuri tu za kihaya. (Achomile bhana).
Unadhani walioathirika hapo ni Clouds?! Aliyepanga kwenda hawezi kuacha kwenda eti kv kuna undergrounds wamekatwa! Sana sana hata wale wasiopenda kukesha wataona poa tu kv hadi saa 6 show imeisha na best artists wote watakuwa wame-perform.

Pigo ni kwa hao wasanii waliokatwa!
 
Dhuuuuu!!! Kweli bashite hatak
Mchezo yan kama babaake
 
Sema walitakiwa wajitahid wambakishe chinbeez kwa namna yeyote......
 
Watakuwa wamewarudisha kwenye orodha ..maan shangwe zimeruhusiwa t
Had majogooo
 
Back
Top Bottom