Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

Kucheza Basketball nako ni Usanii Hapa Naona Mkuu umethibitisha kutokufanya vyema kwa Hasheem ndani ya NBA ni usanii Tosha...

Hasheem wacha Usanii Cheza Kikapu kwa bidii Siku hizi hata sisi hatukutizami kwenye Game zenu mnazocheza tunaendeleza kuwatizama kina Kobe tu no Usanii kwenye Sports Game...

Hivi wanasiasa sio wasanii! rostam aongezwe humu na riz1
 
Subiri nami ntafute picha za wasanii watano tz wanaochapa madem wakali!!!!ntaanza na hawa!diamond,hemed phd,blue kabayser,a.y na......
 
Mbona tofauti ni kubwa sana kati ya wa kwanza na wanaofuatia????
 
Ingependeza sana kama wasanii hawa na wengine wangeungana wakaipiga jeki Bajeti ya serikali ambayo kila kukicha inayumba
 
Linamilikiwa na Binti moja makini sana anaitwa EMELDA. Sifahamu mengi sana juu yake ila najua she is good na ni mfano wa kuigwa.

Kuna something good coming from huyu binti. Atakuwa na TV shows yake itakayoitwa "The Emelda Show" Hii itakuwa ni show ambayo mlengo wake ni kuwa- inspire na to encourage pamoja na kuwasaidia watu kuhusu jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za kimaisha, so they can have hopes. Walengwa zaidi wa show hii kwa asilimia 80% itawahusu wanawake wenye umri kati ya miaka kati ya 18-35.

So far Emelda bado yupo location na ana-shoot na kampuni ya GRM Production na pia yupo katika mazungumzo na vituo tofauti vya TV. So anytime soon show itaanza katika TV.

Haaaa haaa leo natumia Kiswanglish cha mjini. Ndo lugha ya Wasanii hiyo, au vipi bana, au siyo mchizi wangu!
mpaka hapo inaonyesha unafaham mengi juu ya huyu bbie.btw ni mshirika wako wa kibiashara?.ila kwa sugu kutokuwemo ktk hii orodha yako kunazalisha maswali.hivi rugay hakuwah mpitia kweli!!?
 
Safi sana hila hao wa movie wengi ni promo prof jay hana hio kitu ghorofa lake la kimara limemshinda kujenga hadi leo hapo ni jaydee na hasheem tu wengine makanjanja wa hela hao
 
This is good news; Nampenda sana Jay Dee, anajiheshimu sana, na amebadiri kabisa sura na maana ya usanii wa mziki wa kizazi kipya ambao kina Ray C na wengine waliifanya fani hii ionekane ni uhuni tu; Lakini cha kusikitisha ni kwamba Gardner kamuambukiza dada yetu ule ugonjwa, na maskini dada yetu hakujua mwenzake alikuwa ameshaumia; kwa muda mrefu tu, wote wawili wamekuwa wanatumia tembe za kusogeza mbele maisha; hizi ni habari za kweli na mkiwa na nafasi mkathibitishe, vinginevyo mpaka pale mtakapojua ukweli huu, i stand kushambuliwa humu kwa maneno kwamba nina chuki binafsi, wivu n.k;

Tukathibitishe wapi sasa mkuu,tunasubiri uthibitisho kutoka kwako.However haihusiani sana na mada hapo juu
 
Hasheem co msanii bana ni mwana michezo, sports na entertainment ni vi2 tofauti kabisa,
 
Figures za Ukweli ni Hasheem, atleast na JD.. Hao wengine uongo mtupu!
 
Sugu na komba je?
nafkiri hii ni changamoto kwa wanaofanya tathmini ya utajiri wa mtu yeyote hasa lengo likiwa kuwapanga from top according to what they own. unaweza kuuliza maswali mengi kama why komba anayemiliki shule n.k hayupo, ay ambaye anazungusha hela kama kina ray naye hayupo. pili value za wanavyo miliki nao ni utata, tatu mapato yao hayapo clear,kama unaingiza 2m per show na una bendi,what is your take home baada ya gharama za uendeshaji? unanunua vifaa vya 100m kwenye kampuni amabyo wewe ni share holder,je contribution yako na ya patner wako zipoje?pengine yeye ametoa 20m tu. pia kuingiza mali ambazo mtu ameshawapa wazazi wake sijuoi kama ni busara,hizo sio zake tena........
 
Mkuu Owner si Clouds Media. Mimi pia nimekosea nilichanganya na bang Magazine ambayo ndo inamilikiwa na Emelda. Yote yamefanana kwa kiasi fulani.

You will get this from Baab Kubwa Website:

Bab Kubwa Media is a talent collective and production company working between the UK and Tanzania, conceived by Ralph Godden
after recording material for the Mapito album in Tanzania during 2004.

Our activities include Artist Promotion and also producing Music, Graphics and Websites for both established and Underground Artists around the world. We will also be hosting a series of Live shows and Recording workshops over the next year. Bab Kubwa is proud to function as A&R for Nomadic Wax LLC, Brooklyn, New York.

Ralph sio mmiliki wala muanzilishi wa Babkubwa magazine, bali ni muanzilishi wa babkubwa social network na wala haina uhusiano wowote na babkubwa magazine!
Nimefanya kazi na Ralph kwa miaka mitatu halijui bab kubwa magazine, kumbuka babkubwa magazine lilikuwa chini Don Alpha na ofisi yake ilikuwa nitaa ya aqua library 2008,
 
John Komba ndie Namba One.

Muanzisha Thread Umechemka nadhani unampigia Debe Hasheem tu. Sababu Hasheem hana lolote analofanya zaidi ya kuwa mzigo kila timu aendayo pengine ndio usanii wake huo.. Kikapu Dar kuna jamaa huitwa nick ya Obote huimbiwa nyimba za Dhihaka kila achezapo kwani huwa hata Dank anashindwa ku score..

huwa nakerwa nikienda uwanjani na mchezaji akiitwa Kubwa Jinga!

Mgeni huyu Mgeni ... Mgeni Mgeni iii Mgeni huyu Mgeni
Kila atakaye gusa Kwaheri...

Hao wasanii uliowaweka nadhani ni waganga njaa tu... Sidhani hata mmoja wao kwenye account zake ana zaidi ya 50 m baada ya miaka50 ya uhuru
 
Back
Top Bottom