TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
emelda is superbNamsubiri Emelda na show yake....she is smart and inspiring....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
emelda is superbNamsubiri Emelda na show yake....she is smart and inspiring....!!
Nina mashaka na Prof kama taarifa ni sahihi
Anyway, nilifikiri kwamba kabla ya kupost inabid ujiridhishe! Otherwise utakuwa una spread upupu mkuu (ashakum)!
Kumbe sugu sio msanii!
Azimio la Arusha liliweka miiko kwa Viongozi. Je hawa uliowataja nao walikuwa viongozi?bado wanakuja wengi na tutawashangaa wengi sana. haya yote mshukuruni mmarekani aliyeutokomeza ukomunisti na binamu yake ujamaa na kujitegemea. watu kama marijani shabani, mzee upara(fundi saidi) na wasannii wengine wangekuwa ni mabilionea sasa hivi kama kusingekuwa na Azimio la arusha.
Hata mimi nina wasiwasi na huyu jamaa ukiacha hiyo nyumba yake na hayo mashamba hana chochote,ni kweli jamaa anaingiza hela nyingi but matumizi yake ni ulevi tu.Kabla hajaamia huko Mbezi kwenye nyumba yake alikuwa anakaa Kijitonyama nilikuwa nakutana nae bar moja yuko na wapambe kibao anakunywa hadi anapoteza network kuna jamaa wanambeba kweyne gari wanamrudisha home.Angetulia angefika mbali sanaMkuu tusaidie unachokijua au kusahihisha kilichokosewa.
sure,wamejitahidi ila nami nina wasiwasi na evaluation ya mali zao kama mdau alivyo na shaka na taarifa za prof jay ambazo nami namashaka pia.ile nyumba yake ni ya 180M? .pia haipo clear kwa hao wanao own companies(ray,kanumba na jaydee) hayo mapato ni faida waliyopata au ndo.....eg kwa jd 2M per show ndo anaingiza mfukoni or anatakiwa awalipe wanamuziki wake na gharama nyingine pia
Hata mimi nina wasiwasi na huyu jamaa ukiacha hiyo nyumba yake na hayo mashamba hana chochote,ni kweli jamaa anaingiza hela nyingi but matumizi yake ni ulevi tu.Kabla hajaamia huko Mbezi kwenye nyumba yake alikuwa anakaa Kijitonyama nilikuwa nakutana nae bar moja yuko na wapambe kibao anakunywa hadi anapoteza network kuna jamaa wanambeba kweyne gari wanamrudisha home.Angetulia angefika mbali sana
Hata mimi nafahamu kuwa Prime Time ndio wamiliki wa Bab Kubwa MagazineIs it confirmed kama mmiliki wa Magazine hii ni Prime Time?
Hata mimi nafahamu kuwa Prime Time ndio wamiliki wa Bab Kubwa Magazine
Kwa wasanii waliongiza sana fedha mwaka jana nafikiri hata Diamond ameingiza sana fedha mwaka jana kwenye show zake,sijafahamu investment na matumizi yake
Haaaa haaa lini hiyo Mammy?
Misso yaaa . . . long time you know . . . wapi TF? Bora hayupo leo asije kuniharibia . . .
I think magazine imesema kuwa ni Gross . . . . Of course Authentication in Tanzania is never possible. Hata hao wanaodhaniwa kuwa wanalipa kodi bado zinachakachuliwa.
So assumption ya hapa ni kwenda kwa makisio na kinachoonekana kwa macho.
Juu ya thamani ya nyumba ya Professor Jay inayoonyeshwa katika blogs mbalimbali na pia niliona kwebnye TV, yes it is possible for maana kwa sasa vifaa vya ujenzi viko juu sana: Cement; Tiles; Vigae; Cereamics; Plumbing; Electricity nk.
Waiopitia experience ya ujenzi siku za karibuni wanaweza wakawatoa maoni yao. Pia Market value huwa iko juu kuliko gharama za ujenzi.
Mwezi wa sita-saba hivi....misso yaaa too (SMH)... TF yuko anatafuta maisha na mie natafuta yangu mkuu....!
Bora umerudi mkuu,nahitaji sana ushauri kwenye hii ishu,ukiwa free PM me....!