Wasanii ambao hata watoe nyimbo unajua tu hamna kipya

Mambo yote Sikinde Ngoma ya Ukae - Supu Ukishaitia Nazi Umeharibu!
 
Tunda ni ---- kweli. Hivi kwa nini aliamua kujiita Tunda?! Au ndiyo yale vijana wa mjini!!! 😀😀😀. Labda awe mwandishi wa nyimbo tu lakini hana lolote.
 
Tunda analialia tu hakuna jipya yani!!

Benpol Sophy imebuma mapema hakuna jipya...

ROMA naye wale wale kutaja taja majina tu...

Anguko la stamina hata aliko mbali...

Izo b mbabaishaji anachojua ni kuonesha raba kubwa na majeans ya kichina kwenye video!

Kiufupi umeongea ukweli mtupu!!
 
mumemsahau sheta a.k.a baba kaila
 
1. Jaguar
2. Tundaman
3. Bob junior

Dah hawa watu hapana aisee!! Kama Tundaman yaani yeye ndo hadi anakera kabisa!
 
Diamond, roma, stamina & bob junior.. wale mliopo karibu n tundaman mwambien aimbe akimaliza kuimba ndo alie
 
Ebu tupe na wa nje uko ulaya na amerika wengi wao si vile vile tu au lugha? Me uwa sishangai akiimba Lil Wyne ata nikifumba macho najua uyo ni fulani ata ashirikishwe. Akiimba Pdidy yale yale akiimba TI yale yale akiimba tupac ni yale yale cha msingi watu uangalia msanii amebadirika vipi kiujumbe sio aina ya uimbaji wake au melod yake...hivyo vitu upande wa maproducer uwa ni key zao za utamburisho kuweza kujua uo ni mkono wa fulani maana atafanya mbwembwe zote lakini zile key zake za kumtambulisha lazima uzisikie
 
Diamond nadhani ana wimbo mmoja ambao uko tofaut na nna mashaka hakuandika yeye wimbo wa ukimwona ila zingne ni continuation and the begging point of another song
 
namheshimu sana huyu dada lakini naye nyimbo zooooote kama kwaya tuuuuu,sijui kwanini hukumuweka hapa kwenye list
 
Jux ndio sijajua mpaka leo anafanya kitu gani , hata ukiniuliza nishawahi sikia shoo yake wapi au wimbo wake gani sijawahi hata kusikia wala sijui.. platnumz ndio habari ya mjini
 
Halo kajamaa namba 8 kanajua sana ila sijui tuseme nyota
 

Wagogo huwaambii kitu kuhusu Sophy ya ben
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…