Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaguar wa kgeugeu
wote hapo baba yao tunda ni shida cjuagi anaimba nn alafu nilimskia anataka kifungua bendi cjui itakuaje. si lazima wote tuimbe
Tunda analialia tu hakuna jipya yani!!
Benpol Sophy imebuma mapema hakuna jipya...
ROMA naye wale wale kutaja taja majina tu...
Anguko la stamina hata aliko mbali...
Izo b mbabaishaji anachojua ni kuonesha raba kubwa na majeans ya kichina kwenye video!
Kiufupi umeongea ukweli mtupu!!