Wasanii ambao hata watoe nyimbo unajua tu hamna kipya

Hivi kama mtu amechagua kuimba taarab, anatakiwa awe anaichanganya changanya na rap isound tofauti...
 
SIKUAMINI HILI JEMBE NALO LILIKWENDA NA MAJI.........All the attempted come backs have failed..
 
Last edited by a moderator:
kila mtu na interset zake. ndo maana mnatoa hoja kwa mapenzi binafsi.
 
Mnataka kuua mziki kwenye mitandao ya kijamii sasa Roma huku anahusikaje,mnataka aimbe mapenzi muwatumie madem zenu au atoe video ambayo huwezi kuangalia na wazazi wako,na Dada yetu Jide hv yy na shilole au snura nani anaimba nyimbo zenye maana,ni mtazamo wangu.
 
Mistari ya ROMA imeenda sana shule ila inahitaji uwe na IQ kubwa kidogo kuielewa
 
Duh..! Jamaa amesema young killer yule wa dear gambe ..na huyu wa kumi na tatu ni yuleyule. Bongo fleva aisee tuachieni hiphop yetu.
 
kama hujui kitu kaa kimya sio lazima uzungumze eti ndo uonekane unajua wakati mwingine utafanya watu wakudharau.Huna ufahamu wowote kuhusu muziki unachokijua ni kidogo sana kiasi cha kutokukuwezesha kuchambua wasanii kama hawa..jifunze
 
mi nimeongea nachojua sasa we unayejua mziki mbona unalalamika tu si useme unachojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…