Wasanii ambao wanapaswa kufungiwa

Wasanii ambao wanapaswa kufungiwa

Zumbe Kimweru

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
340
Reaction score
27
wakuu, BASATA na TCRA hii ni barua ya wazi kwenu ;Sina budi niseme kwamba BASATA na TCRA bado hamjatutendea haki Watanzania kwenye sanaa kuhusu maadili kabisa kabisa ,mmekuwa watu wakushtushwa ndipo mfanye.Niwaambie tu simamieni maadili na utu wa mwanamke na utamaduni wa Mtanzania.!!!Sioni tofauti kati ya shoo ya shilole na video mbalimbali zionyeshwazo na vituo vya redio na Tv .Wasanii wafuatao wanapaswa kufungiwa kabisa ni hawa wenye sifa hizi kwenye kazi zao1.Nyimbo zenye matusi na ujumbe usio hadhi kwa utamaduni.eg .Hiphop songs nyingi hovyo.2.Video zenye ujumbe na uvunjaji maadili ya mtanzania.3.filamu za hovyo..OMBI TCRA:Fungeni vituo vya redio na Tv vinapiga na kuonyesha nyimbo na video zisizo na maadili, wazazi tumechoka Tv za ndani Uozo,za nje uozo!!! Twende wapi sasa!!! TCRA na BASATA TUOKOENI WATANZANIA!!! WATOTO WETU WANAANGAMIA JAMANI.!!BY UMOJA WA WAZAZI WENYE TV & REDIO
 
Ungawataja na nyimbo na video zao ingekuwa poa zaidi.
 
Vizuri,ila nilijua utaja list ndeeefu ya wasanii na nyimbo hizo tata.
 
wakuu, BASATA na TCRA hii ni barua ya wazi kwenu ;Sina budi niseme kwamba BASATA na TCRA bado hamjatutendea haki Watanzania kwenye sanaa kuhusu maadili kabisa kabisa ,mmekuwa watu wakushtushwa ndipo mfanye.Niwaambie tu simamieni maadili na utu wa mwanamke na utamaduni wa Mtanzania.!!!Sioni tofauti kati ya shoo ya shilole na video mbalimbali zionyeshwazo na vituo vya redio na Tv .Wasanii wafuatao wanapaswa kufungiwa kabisa ni hawa wenye sifa hizi kwenye kazi zao1.Nyimbo zenye matusi na ujumbe usio hadhi kwa utamaduni.eg .Hiphop songs nyingi hovyo.2.Video zenye ujumbe na uvunjaji maadili ya mtanzania.3.filamu za hovyo..OMBI TCRA:Fungeni vituo vya redio na Tv vinapiga na kuonyesha nyimbo na video zisizo na maadili, wazazi tumechoka Tv za ndani Uozo,za nje uozo!!! Twende wapi sasa!!! TCRA na BASATA TUOKOENI WATANZANIA!!! WATOTO WETU WANAANGAMIA JAMANI.!!BY UMOJA WA WAZAZI WENYE TV & REDIO

wafuatao wakwapi au povu linakutoka km umekula sum ya nyoka
 
Nikaja speed nikadhani nitakutana na jina la nani
 
Huo umoja wa wazazi wenye TV na Radio umesajiliwa kweli?
 
Back
Top Bottom